Nimejaribu kuidownload ile software ya kukonect mitando mingi kwa pc aloweka ethemiza imekubali kudownload ila tatizo ni imekuja kama fail fulan then nkifungua inaeleta mandish yasiosomeka sasa bandugu mwenye mayo atpie wat wangu

mkuu inawezekana huna software ya kufungulia mafile ya rar. For what i know lile file alilo upload e2themiza ni file lilokuwa compressed yaani rar.
Sasa wewe itakua huna winrar/winzip/7zip kwenye pc yako then notepad ndo ikalidaka hilo file likafunguka na notepad thats why unaona text.
Nenda google search winrar download then after that install winrar ukimaliza rudi kwenye lile file linalofunguka kama text (file la conectify) right click then open with then chagua winrar.