mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,071 Reaction score 132,528 Apr 20, 2015 #1 Iwe na engen 3s # iwe b, gari isiwe na tatizo yoyote Kuanzia engen mpaka body. Offer ya kununua ni 8.5mln Mwenye nayo tuwasiliane niko dar,kama mtu anayo tuchekiane ni pm ntakupa # yangu
Iwe na engen 3s # iwe b, gari isiwe na tatizo yoyote Kuanzia engen mpaka body. Offer ya kununua ni 8.5mln Mwenye nayo tuwasiliane niko dar,kama mtu anayo tuchekiane ni pm ntakupa # yangu
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,114 Apr 21, 2015 #2 Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Apr 21, 2015 #3 secrete said: Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms. Click to expand... Hahahaahahaaa aiseee we jamaa duh unakatisha watu tamaa!
secrete said: Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms. Click to expand... Hahahaahahaaa aiseee we jamaa duh unakatisha watu tamaa!
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,311 Reaction score 5,727 Apr 21, 2015 #4 Jerrymsigwa said: Hahahaahahaaa aiseee we jamaa duh unakatisha watu tamaa! Click to expand... RAV4 ya 1999 ni model inayoelekea usasa sawa na RAV4 Kill Time,hivyo iko poa. Kwa uzoefu kwa namba B, andaa 10m/-
Jerrymsigwa said: Hahahaahahaaa aiseee we jamaa duh unakatisha watu tamaa! Click to expand... RAV4 ya 1999 ni model inayoelekea usasa sawa na RAV4 Kill Time,hivyo iko poa. Kwa uzoefu kwa namba B, andaa 10m/-
fatu2010 Senior Member Joined Mar 4, 2014 Posts 173 Reaction score 143 Apr 21, 2015 #5 CHAZA said: RAV4 ya 1999 ni model inayoelekea usasa sawa na RAV4 Kill Time,hivyo iko poa. Kwa uzoefu kwa namba B, andaa 10m/- Click to expand... Duh so jamaa aongeze ongeze! Na anataka namba B
CHAZA said: RAV4 ya 1999 ni model inayoelekea usasa sawa na RAV4 Kill Time,hivyo iko poa. Kwa uzoefu kwa namba B, andaa 10m/- Click to expand... Duh so jamaa aongeze ongeze! Na anataka namba B
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,071 Reaction score 132,528 Apr 21, 2015 Thread starter #6 secrete said: Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms. Click to expand... 9 hadi 8.5mln inapatikana...Watu kuuza magari ni moja ya shughuli yetu
secrete said: Rav4 isiyo na matatizo Kwa 8.5m? Labda useme swift tena Iliyochoka mileage 400,000kms. Click to expand... 9 hadi 8.5mln inapatikana...Watu kuuza magari ni moja ya shughuli yetu