Mwenye picha!

Beso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
216
Reaction score
59
Tuliona picha ya simba kapakatwa!iwekwe na ya yebo aki.,...! Ni utani tu!
 
<br />
<br />
duuh!kaazi kweli.
 
Hay bwana mwaka wenu huu, lakini subiri ligi ndo mtajua kiiza ni nani. inauma lakini
 
Wakati wenu wa kutamba huu sie tumekuwa wapole bwana ila tutakutana ligi kuu na tutawalipa kisasi tu.bt hongereni sana
 
Kwa nini penalty ya Sunzu jana ilirudiwa? Lengo ilikuwa kufanya Yale yale kama kwenye Kagame cup. Kuibeba champari lakini ilishindikana
 


Duh!!! Mtu mzima kalamba majani...Ni noma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…