Fadplatnumz
Member
- Aug 25, 2014
- 97
- 13
Jaman mwenye orodha ya majina ya waliochaguliwa UDSm bnaomba anitumie wadau
Hilo n swalíí aú maelezó?TCU wameachia
Wee unaonaje?Hilo n swalíí aú maelezó?
hahahahWee unaonaje?
mpk sasa kila chuo kimeshatumiwa list ya selected students awamu ya kwanza kutoka TCU. Kilichopo ni kwamba kila chuo kitaachia kwa muda wake!hahahah
Wana nnThe pool of sloam church..hawa jamaa hatari
Kwa pamoja!Hivi UDSM wao wanatoa majina kwa pamoja
Au wanatoa kila round