MWENYE ORDINARY DIPLOMA IN PRIMARY EDUCATION

chigaile

Senior Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
191
Reaction score
285
Naomba kuuliza swali wakuu.Mtu mwenye diploma ya ualimu wa shule ya msingi Ana sifa ya kusoma degree ya ualimu kwa kutumia matokeo yake ya diploma.
Ahsante

Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
 
Sijajua hiyo Diploma yako ni classfied au unclassfied. Kama ni classfied means matokeo yako yapo in GPA. kama sio classfied means yanweza kuwa ina eg. Average, Class, grade Etc.

Kama ni classfied inakubidi uwe na Pass 4 Olevel pia uwe na 3 GPA and above.

Kama ni unclassfied uwe na average au grade B+ pia na 4 passes za form 4
 
Asante,ni classified ipo katika katika GPA

Sent from my TECNO F1 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…