Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Ukwaju acha ukauzu bana. hahahh.Hakuna Sheria inayomtaka yeyote katika hao kuchukua cha juu zaidi ya Kodi ya chumba.
Kama umeridhika na chumba chukua anwani yake mwenye nyumba (simu yake au kuangalia anapokaa ) rudi usiku malizana nae wakati Dalali hayupo
Kwa kukomesha kabisa muandikiane
Mtu aliyeko Kisheria au mwenye Mamlaka ni yule anayesimamia mkataba wa upangaji ambaye zaidi huwa ni Mwanasheria ambapo km unahisi mnaweza shindwana katika upangaji hasa katika mambo ya kufukuzana kabla Mkataba haujaisha au kutokulipa Kodi ya chumba (Pango) kwa miezi 6 mfululizo ndio mnaweza kwenda kwake. Na huyo Mwanasheria atawachaji si zaidi ya 5% ya kodi au Gharama za Mkataba si zaidi ya 50,000/=) ambapo atasimamia mapatano yenu kwa mwaka huo wa Mkataba
Mimi yalishanitokea na huwa nawafukuza Mdalali na kumuita mwenye kuhitaji kupanga kwani huyo ni ndugu wakati wa kupanga na hata zaidi ya hapo
Uzuri wa Madalali ni kama nyumba yako haina soko au iko mbali na Mji na kumlipa na mapatano na mapenzi yenu (Asante)
Du wewe kauzu kwelikweli kumbe ni lazima utongozewe? huwezi tafuta mwenyewe?Ukwaju acha ukauzu bana. hahahh.
Si sawa kutomlipa dalali aliyezunguka nawe kutafuta nyumba. Japo unapaswa umlipe kiasi..not necessarily kodi ya mwezi.
Are you serious?me nina nyumba ipo k,ndoni naipangisha ila sitaki dalali.
ndio mkuu.Are you serious?
Unapangisha nyumba nzima au chumba kimoja kimoja? Maeneo gani?ndio mkuu.
nime ku PMUnapangisha nyumba nzima au chumba kimoja kimoja? Maeneo gani?
Hakika nchi hii ni kama haina sheria,kuna watu wao wananeemeka kwa shida za wengine pasipo hata yone la jasho!Zaidi madalali ndoi wamekuwa wakipandisha kodi za nyumba kwa mwezi ili kipato chake kwa mwezi kiongezeke mathalani kodi ni 150,000 anaongeza kusudi utakavyolipa nyingi na yeye apate zaidi,mpangaji anajikuta anapigwa mara 2 zaidi,kuna haja ya kusajili kampuni binafsi za madalali ili walipe kodi na pia kuwe na mwongozo wa kiwango stahiki cha kodi!