Mwenye nafasi hii

imbu8

Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
45
Reaction score
32
Kwa mlioko Dodoma Mjini,MIMI NI MWANAUME,natafuta kazi ya ufundishaji (part time)kwa masomo yafuatayo:-
1,commerce
2.Economic
3.Book keeping na
4.Accountancy
Na pia nina ujuzi/uelewa wa mambo ya computer katika nyanja hizi:-
1.Microsoft word/ open office writer.
2,Microsoft excel/ Open office calc (spreedsheet).
3.Power point/presentation.
4.Business statistics package(Tally).
5.Multimedia presentation.
6.Data analysis package(SPSS).
7.Management information system.
NB:Ni kwa ajili ya kujitolea tu ila mwajiri awe tayari kunisaidia yafuatayo:-
1.Nauli
2.Chakula.
3. Posho kidogo (kama atapenda kufanya hivo).
Aliyonayo nafasi hizo tuwasiliane
imbu8yahoo.com
0718522446
Ahsanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…