Kuna mwaka fulani nilikua mkoa fulani nikashangaa mzee fulani maarufu sana alipo simulia hadithi ya yaliyo mkuta siku alipokaribishwa ugali kuku,
Jamaa anadai yeye alikataa kula maana alikuta chakula kishaandaliwa lakini mwenye nyumba akajifanya mkarimu sanaa akafanya kama kumlazimisha hivi kumbe jamaa (mkaribishwaji ) yeye na mchuzi haziivi kwahyo tonge la kwanza akaondoka na kipaja, kwabahat mbaya mwenyeji uzalendo ulimshinda kila alipoona kipaja kiaacha bakuli basu alichofanya ni kushika kiganja cha mgeni na kukung'utia kipaja kwenye bakuli akamtimua na mgeni mwenyewe.......swali ni je? ulimkaribisha wa nn? kama hukujiandaa? huo ndio unafiki na madhara yake ni kujivinjia heshima asante mleta maada umenikumbusha hii kitu kwakweli
Hahahaha unafiki hatari sanaaaaaaa! Bora angeudhihirisha uchoyo wake pengine mgeni angejua jinsi ya kucheza naye hata kukwepa kuumbuana
Kuna mwaka fulani nilikua mkoa fulani nikashangaa mzee fulani maarufu sana alipo simulia hadithi ya yaliyo mkuta siku alipokaribishwa ugali kuku,
Jamaa anadai yeye alikataa kula maana alikuta chakula kishaandaliwa lakini mwenye nyumba akajifanya mkarimu sanaa akafanya kama kumlazimisha hivi kumbe jamaa (mkaribishwaji ) yeye na mchuzi haziivi kwahyo tonge la kwanza akaondoka na kipaja, kwabahat mbaya mwenyeji uzalendo ulimshinda kila alipoona kipaja kiaacha bakuli basu alichofanya ni kushika kiganja cha mgeni na kukung'utia kipaja kwenye bakuli akamtimua na mgeni mwenyewe.......swali ni je? ulimkaribisha wa nn? kama hukujiandaa? huo ndio unafiki na madhara yake ni kujivinjia heshima asante mleta maada umenikumbusha hii kitu kwakweli
Duh, huyo mwenyeji noma kweli. Kukung'uta mkono wa mgeni kisa kipaja cha kuku???!!!!!
Wala hayakunikuta pekeyangu.. huu ni msiba wa watanzania, watoaje pole na wewe pia mfiwa?
Unajua alisindikizaje? eti huna adabu kabisa yaan unachukua heshima ya mwenye nyumba!!!!! haiwezekani.
hahaaaaa!! kipaja cha kuku