Mwenye mchongo wowote kuhusiana na kazi za IT

David hustle

Member
May 11, 2021
18
13
Mwenye mchongo wowote kuhusiana na kazi za IT hapa DSM au popote pale Tanzania anipe connection.
Ni mtaalam katika:-
1.Web design
2.Graphics design
3.Nertwork installation
4.CCTV camera installation
E-mail yangu ni baragamba02@gmail.com
 
Mungu akufanyie wepesi kazi haijalishi iwe kubwa ama ndogo
 
Kama unafahamu kudesign website usisubiri kuajiriwa na mtu ni kupoteza muda wako na utaalamu wako

Hivi unafikiri kuwa na uwezo wa kuisimika, kuimiliki na kuiendesha website ni kipaji kidogo?

Tengeneza website yako na uingize hela kupitia hiyo web yako

Unafikiri anayemiliki Facebook anaingiza sh ngapi kwa siku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom