Mzawa12 New Member Joined Aug 21, 2020 Posts 3 Reaction score 2 Apr 9, 2025 #1 Jamani mwenye maswali ya usaili wa mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA) ya ajira ya CUSTOMER SERVICES OFFICER II naomba msaada 🙏
Jamani mwenye maswali ya usaili wa mamlaka ya viwanja vya ndege (TAA) ya ajira ya CUSTOMER SERVICES OFFICER II naomba msaada 🙏
Regina nyatega New Member Joined May 14, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Apr 15, 2025 #2 Hello umepata hayo maswali? Na mimi nimeitwa kwenye usahili, position hiyo hiyo
V vctor123 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 242 Reaction score 179 Apr 16, 2025 #3 Regina nyatega said: Hello umepata hayo maswali? Na mimi nimeitwa kwenye usahili, position hiyo hiyo Click to expand... Soma job description kwenye tangazo la kazi maswali ndo yatatoka umo umo
Regina nyatega said: Hello umepata hayo maswali? Na mimi nimeitwa kwenye usahili, position hiyo hiyo Click to expand... Soma job description kwenye tangazo la kazi maswali ndo yatatoka umo umo