Huu ni wimbo wa bongofleva ambao nilitokea kuupenda sana ila umenitoka kidogo, una mashairi haya; Nilimfukuza mpenz wangu eti kwa sababu ya bintii, nilimfukuza wangu moyo eti kwa sababu ya bintii, moyo wangu unauma nafsi yangu inajuta mamaa...

Hahahah hapana mkuu Galapagosi, huu wimbo nimeupenda kutokana na kisa cha huyo ambaye alimfukuza mpenzi wake baada ya bint mmoja mdogo kutoka kijijini kwao kufoji barua ambayo alimletea jamaa hiyo ilimtaka jamaa amchukue huyo bint kama mkewe...
Mkuu xenon, unajuwa huu wimbo una mashairi mazuri sana tena yenye kuifunza jamii tofaut na nyimbo za sasa za bongofleva. Naomba nikumbushe jina la mtunzi na aliyeimba huu wimbo mtamu usiyokinaisha masikioni ili na mimi nikautafute.