Mwenye mapenzi ya kweli karibu

Mbona hii ishu na maelezo haya haya niliyaona humu..[emoji15]
 
Hatuendi hivyo dada mbona huna subira aisee khaa huu uzi wa ngapi unatafuta mwanaume? Unless uniambie umeamua kupiga tu porojo
 
Na unajitahidi kutafuta, bidii ungeweka kwenye kutafuta pesa ungekuwa mbali sana
 
Bado?? Maana hii thread naiona mara ya 12 sasa kwa tarehe tofauti tofauti.
 
Sidhani kama huyu dada yupo serious, na kama yupo serious basi anapoteza walio serious kwani hajibu hata hizo pm zenyewe. Usijaze server kila siku wakati hawa waliotuma pm wenyewe haujawajibu au umewezaje kuwatathmini bila kuwasiliana nao?
Be serious maana wengine humu wako serious
 
Kibovu chajitembeza!
Tafadhali wanawake mnaota
futa waume msicheze na hisia za watu wengine tupo commited !
Kibovu chajitembeza!


 
umri wa juu Mwisho miaka mingapi? Nimevutiwa na vigezo vyote ila cha weupe duuuh!
 
Back bencher kunalipa?? ( Just joking)[emoji23] [emoji23][emoji32]

[HASHTAG]#NgojaWenyeVigezoWaje[/HASHTAG] na usisahau kutupa mrejesho
 
Form 4. Jobless. Na bado una masharti!
 
Unaishi wapi ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…