N nagajo Member Joined Jul 19, 2014 Posts 16 Reaction score 15 Nov 1, 2015 #1 Wakuu kama kuna mtu amefanikiwa kuyapata majina ya waliopata mkopo UDSM, tafadhari tuweeke hapa, maana kwenye website ya board inasumbua kufunguka
Wakuu kama kuna mtu amefanikiwa kuyapata majina ya waliopata mkopo UDSM, tafadhari tuweeke hapa, maana kwenye website ya board inasumbua kufunguka
amos eglan JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 310 Reaction score 464 Nov 4, 2015 #2 Sasa MTU atawekaje majina ya watu 600 ambayo yamebandikwa ukutani
Prof. motto Member Joined Jul 11, 2015 Posts 13 Reaction score 1 Nov 4, 2015 #4 Lowassa kipaumbele chake cha kwnz pili na tatu kilikw Elimu Elimu Elimu. Yule mwngne ilkw ni kufungua mahakama ya mafisad na kuanzisha viwanda. So tutaisoma namba kweli kweli.
Lowassa kipaumbele chake cha kwnz pili na tatu kilikw Elimu Elimu Elimu. Yule mwngne ilkw ni kufungua mahakama ya mafisad na kuanzisha viwanda. So tutaisoma namba kweli kweli.