Mwenye macho haambiwi tazama

mh.rais mstaafu na mh.rais aliyeko madarakani wanabadilishana mawazo
 
Jamani kuna watu walisema Magufuli atakuwa kama tv tu pale
Magogoni atakuwa anaongozwa
na Remote control kutokea Msoga na nyingine kutoka tanga Bwm .
Najiuliza hizo rimoti zimeishiwa betri?
 
Mpaka mlinzi kabatasamu kweli mzee wa msoga ni mcheshi sijui aliachia kirungu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…