Mweñye list ya shortist ya TZ Gaming Board

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,637
3,342
Kuna kijana wangu aliomba hii nafasi na anadai list imetolewa tayari kwa ajili ya usaili mwezi wa 6.
 
ingia kwenye website yao www. gamingboard.go.tz au tafuta gazeti la mwananchi la tarehe 16mei
 
Back
Top Bottom