Hizi WhatsApp Mod zimeniumiza sana.
Nimepoteza mambo muhimu mno baada ya simu kupotea.
Nimeshindwa kurudisha files muhimu mno. Backup yake mpaka uwe na file
ambalo utahamisha kwenye simu nyingine.
Sinahamu kabisa. Kwa mnaotumia muwe na tahadhali sana