Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,119
Reaction score
1,808
Habar wakuu, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Nimekuwa muumini mkubwa sana wa whatsapp plus kwasasa nina week tsup yangu ime expire inadai version mpya sasa kila niki download inakataa inaniambia ni update na niki update bado inakataa

Hivyo mwenye link ya tsup plus new version naomba anisaidie wakuu

Nawasilisha
 
Mwingine mwenye link ya tsup plus new version anisaidie
 
Mwingine mwenye link ya tsup plus new version anisaidie
hamia fm WhatsApp mi nilihima huko since last year, yule jamaa yuko faster ku update apps zake na ana official website yake(developer wa fm WhatsApp).
 
Tumia telegram link una update chap
 
Hizi WhatsApp Mod zimeniumiza sana.
Nimepoteza mambo muhimu mno baada ya simu kupotea.

Nimeshindwa kurudisha files muhimu mno. Backup yake mpaka uwe na file
ambalo utahamisha kwenye simu nyingine.

Sinahamu kabisa. Kwa mnaotumia muwe na tahadhali sana
 
Download hii ndio natumia mimi haina shida.. Kuinstall unatakiwa usiwe na ile official watsap kwanza ukimaliza kuinstall hii ndo kama unataka kutumia na hiyo official weka..

Okay thanx
 
Imekataa inaonekana kama wamenifungia hiv halafu sijui shida nin

Sababu mi nilikuwa natumia kawaida tu wala sijakiuka zile taratibu zao
 
Imekataa inaonekana kama wamenifungia hiv halafu sijui shida nin

Sababu mi nilikuwa natumia kawaida tu wala sijakiuka zile taratibu zao
Umekiuka. Hawataki utumie hizo clone apps, utumie original Whatsapp app yao tu.
 
Imekataa inaonekana kama wamenifungia hiv halafu sijui shida nin

Sababu mi nilikuwa natumia kawaida tu wala sijakiuka zile taratibu zao
Zima Google Playstore Protection hiyo ndo inablock kuinstall hizi mods za WhatsApp kwa sasa ukiwa una install inakwambia kua hii app ni harmful wewe ALLOW usi DENY sio kwamba imekataa ku install...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…