Kwa bei hyo unapata mpya dukan mkuu nenda mlimani city pale utapataNinashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki 7 nyingii, huyu atakuwa mgeni wa pcKwa bei hyo unapata mpya dukan mkuu nenda mlimani city pale utapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza laki nikuletee macbook kiongoziNinashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7
Sent using Jamii Forums mobile app
Used ya ulaya
Njoo PMNinashida na laptop bei ya kununulia mpya cna. Mtu mwenye laptop yake anayetaka kuuza anitafute. Iwe na Ram 4GB Au zaid Hard disk ikiwa 1000 au zaid ni vizuri. Pia asiwe ametumia zaid ya miaka miwili ikiwa mpya ni vizur zaid. Offer inategemea na aina ya laptop ila isizid tsh lak 7
Sent using Jamii Forums mobile app