Mwenye kuuza TV

Mwenye kuuza TV

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Natafuta TV ya kununua inch 32 na kuendelea, iwe katika hali nzuri.
Nicheki kwa hii namba mwenye nayo nipo Dar 0659796147
 
Ndio ndugu kwa mtu zinakua punguzo kidogo Si unajua pesa yenyewe ngumu
 
Nchi 32 zipo nyingi zenjo tena laki tatu tu utapata.mm nilienda kununua nchi 42 kwa laki tatu na nusu tu .na bandarini nimelipa elfu 20,tu tena flat screen kama unataka ni pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom