Mwenye kujua tafsiri ya ndoto please

Mwenye kujua tafsiri ya ndoto please

Joined
Feb 22, 2019
Posts
51
Reaction score
27
Usiku wa Jana nimeota Kama nakula ivi ghafra nikajing'ata nikastuka kwa maumivi makala kujicheki nimeumia kweli ndoto Kama hizi wajuvi wa Mambo huwa namaaga gani msaada please
 
Hiyo ndoto inaonesha kuna chakula ulikuwa una kiwaza sana kipindi kilichopita au huwa unakipenda sana au pia una uroho fulani katika kula, So ulipopata chakula hicho ukafakamia.
Aidha ndoto za kula kula kama zikijirudia rudia, jua unalishwa uchawi na wanga. Haswa kama unalishwa. Maombi hapo ni muhimu kina unapolala, unapoamka, na mchana.
 
Mimi mwenyewe niliota napigwa radi,nimengatwa na mbwa kichaa na pia tulikuwa group la watu tukachokozwa, basi ile kujiokoa tukapiga mtu hadi kutoka kichwa duuh ndoto nyingine sio.
 
Usiku wa Jana nimeota Kama nakula ivi ghafra nikajing'ata nikastuka kwa maumivi makala kujicheki nimeumia kweli ndoto Kama hizi wajuvi wa Mambo huwa namaaga gani msaada please
Maea nyingi MTU anaota ndoto kwa sababu ya uchovu au kuwaza kitu kwa muda mrefu wakati mchana.
Punguza kuwaza msosi, usipende kuwaza sana msosi, usilale mara tu baada ya kula.

Hayo mambo sijui ya umelishwa uchawi no uongo. Ukiamini utaishi kwa stress na anxiety zisizo na maana yyte.

Kumbuka kuomba kabla ya kulala....

"God is great"
 
Shukrani kwa mawazo yako bro
 
Hiyo ndoto inaonesha kuna chakula ulikuwa una kiwaza sana kipindi kilichopita au huwa unakipenda sana au pia una uroho fulani katika kula, So ulipopata chakula hicho ukafakamia.
Aidha ndoto za kula kula kama zikijirudia rudia, jua unalishwa uchawi na wanga. Haswa kama unalishwa. Maombi hapo ni muhimu kina unapolala, unapoamka, na mchana.
Hahahahaahahaahahah alafu ilikuwa pilau nyama ujue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom