Kuna horror movie moja niliiona mda mrefu, nimeisahau jina...
Kisa kiko hivi " kuna familia moja, ikifika usiku mtoto mdogo wa kiume anaota, na kuona kitu cha kutisha, anapiga kelele wazazi wanaamka, anawasimulia ...baada ya muda baba yake anaamua kutega cameras, lakini picha inashindwa kuonekana vizurii kutokana na speed ya hicho kiumbe" kumbukumbu zangu chache ndiyo kama hizo, anayeipata , anaweza nitajia jina nikaitafuta!