Natafuta gari aina ya ist kwa ajili ya biashara ya Uber,mkononi nina 4M.Nipe gari nifanyie biashara ntakulipa kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu hela inayobaki