N njex Member Joined Jun 10, 2017 Posts 67 Reaction score 53 Oct 15, 2017 #1 Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu jamani tusinyimane hiyo fursa.
Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu jamani tusinyimane hiyo fursa.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Oct 15, 2017 #2 Subiri waje mkuu