NGOGO CHINAVACH
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 943
- 373
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nime attach version mpya ishushe below
Thanks cheifWb bro
Wakuu naomba kuuliza,,je hii unlocker inauwezo wa kuunlock Huawei E153..??
Maana naona kama hii kitu ina utata sana kwenye kuiunlock..
Kujua kama modem yako inaweza kua unlocked fanya hivi.
1. Eka line ya mtandao ambao sio wa modem. Mfano modem ni ya voda eka line ya airtel
2. Ikikwambia enter unlock code ina maana hio modem inaweza kua unlocked
3. Ikisema the sim/usim is not specified au message yoyote inayoonyesha line haipo compatible ina maana hiyo modem ina customized firmaware.
-hapa katika customized firmware ndo kila modem ina aina yake ya uchakachuaji, nyengine una update firmware, nyengine unabadili dashboard na nyengine both unaupdate firmware na ku unlock
-modem zote za huawei zinazotaka unlock code zinaweza zikawa unlocked na hio kitu

mkuu hii nilijaribu lakini sikufikiwaMwenyewe nlikuwa na hiyo but ilkuwa haisomi na nlifanya ten trials bila kujua ynyw inasema unlockd temporary kumbe co,afu nkajarb kuupdate firmware ya modem ika fail pia!
Xo mm na recommend use DcCRAP+universal mastercode generator
utaunlock bla problem!
Sorry kwa kuchelewa kukujibu nime attach version mpya ishushe below
Kujua kama modem yako inaweza kua unlocked fanya hivi.
1. Eka line ya mtandao ambao sio wa modem. Mfano modem ni ya voda eka line ya airtel
2. Ikikwambia enter unlock code ina maana hio modem inaweza kua unlocked
3. Ikisema the sim/usim is not specified au message yoyote inayoonyesha line haipo compatible ina maana hiyo modem ina customized firmaware.
-hapa katika customized firmware ndo kila modem ina aina yake ya uchakachuaji, nyengine una update firmware, nyengine unabadili dashboard na nyengine both unaupdate firmware na ku unlock
-modem zote za huawei zinazotaka unlock code zinaweza zikawa unlocked na hio kitu
mkuu hii nilijaribu lakini sikufikiwa
Pia lazima uwe una ume update Net Framework yako angalau to version 4, la sivyo utakuwa unapata hizo error