Mwenye gari aina ya rav4 ya kukodisha anitafute

Mwenye gari aina ya rav4 ya kukodisha anitafute

bakuza

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
492
Reaction score
104
Nahitaji gari RAV4 ambalo liko vizuri kwa ajiri ya kukodi kwa mizunguko ya hapa mjini Dar es Salaam.Malipo ni kwa mwezi.Mwenye gari hilo anitafute in box ama kwa namba 0754 053496.Tuwasiliane.
 
Good..a kind of RAV 4' . kwa maana ya model, ile ya zamani au hizi zingine wanaita "Kili time"
 
Kwa mwezi ukimaanisha upfront?
 
Another thing for how long....". Muda" ... Miezi mingapi,,,?
 
Back
Top Bottom