Mwenye experience na majani haya ya kupunguza uzito

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
Kuna haya majani yanaitwa "Catherine tea" yanasemekana yanapunguza uzito na unene kwa haraka sana nani alishawahi kuyatumia? Na je yana madhara yeyote kiafya AKSANTE
4f0df146e3384168699f0a2048662b96.jpg
 
Daaah! Sasa hayo mazoezi niyapangilieje ili yaweze kunipa impact nzuri kama unajua nisaidie ndugu maana ni balaa sasa

Mimi huwa naruka kamba mara 300 asubuhi na push-up 30 kila baada ya siku mbili. Hii ina manufaa makubwa sana, nilikuwa na kitambi kikubwa cha pombe, lakini sasa mwili ume-balance. Nafanya hivyo kwa sababu sina muda wa kukimbia, lakini kama una muda wa kukimbia ni nzuri zaidi, angalau mara 10 unazunguka uwanja.
 
Hayo majani nilishawahi kuyatumia yanasaidia kukufanya kupunguza ham ya kula lakin hayakufany upuungue,
msaada ambao ulinisaidia mimi kupungua na mpaka leo unanisaidia ni mazoez na kupunguza kula sana,kula vyakula vyenye afya basi.mazoez najua wengi ni wavivu kufanya hasa wanawake lakin mimi nilichofanya nilitafuta cd za mazoez hizo ndio zinanidaia maana unafanya muda wowte unaonataka
 
Asante sana mkuuu shukrani kwa ushauri
 
Okey asante sana kwa experience yako na je haya majani yana madhara kiafya kwa mfano kwa wanawake? Ili angalau mtu atumia na kufanya zoezi at the same time
 
Back
Top Bottom