Kuna option ya kutumia computer (software) ambapo pubs zile standards kama samaki samaki au migahawa ile mizuri ndo hutumia. Ni kauwekezaji kadogo tu. Mfumo wa manual ni mgumu sana kwa kweli lazima uchemshe..Software unaweza jua kabisa nani kaingiza loss sababu anavyochukua vinywaji mhudumu, yule wa pale counter ana record kwenye PC kwamba kachukua nini na anapeleka kwenye meza ipi (wanaita tabs). Ndo maana ukienda pale samaki samaki wanakupa kama samaki fulani hivi ana namba pale ina maana kuna tab ipo open kule kwenye computer. KWa hiyo kila mhudumu akirequest vinywaji lazima asem ni vya tab ipi. Mwisho wa siku wakifunga tab inatoka receipt nzima. KWa hiyo hapa una uwezo wa ku track bishara yako vizuri. Na utaweza kujua kama stock imepungua ama vipi. Na pia unaweza kupata report ya kujua vinnywaji gani vinatoka sana