Sijui unataka kujua kiasi gani. Kama unataka kuwa mtaalam kiasi au kamili nakushauri uende kwenye baraza la muziki Tanzania pale utapata waalimu kufikia hatua unayotaka. Zamani kuna mahali walikuwa wanaita Music Consevatoire of Tanzania ilikuwa ghorofa ya juu ofisi za Boti zakwenda Zanzibar, Boti za bakhresa.