Ndugu wana jamvi. Hivi karibuni nimepata kinanda aina ya CASIO CTK 530, lakini sijui jinsi ya kukitumia. Mwenye elimu ya muziki naomba msaada wa jinsi ya kupiga kinanda. Nawasilisha.
Sijui unataka kujua kiasi gani. Kama unataka kuwa mtaalam kiasi au kamili nakushauri uende kwenye baraza la muziki Tanzania pale utapata waalimu kufikia hatua unayotaka. Zamani kuna mahali walikuwa wanaita Music Consevatoire of Tanzania ilikuwa ghorofa ya juu ofisi za Boti zakwenda Zanzibar, Boti za bakhresa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.