Ndugu wa Jamvi ,
Mimi kwa uelewa wangu mizigo yote inapoingia Nchini inapokelewa na Mamlaka ya Forodha-Customs na kuhifadhiwa na Mamlaka ya Forodha kwa Maana ya kwamba sehemu zote zinazohifadhi Mizigo ziko chini ya uangalizi wa Customs huingizi kitu wala hutoi kitu bila ya idhini ya Customs leo hii inakuwaje Macontainer 350 yapotee hivi hivi bila Customs kufanya chochote ! ? kusema kweli hili jambo limeanza siku nyingi na huu mtandao ni mkubwa ! Na nina hisi Uongozi wa Juu wa nchi ulio pita unahusika moja kwa moja na wahusika wanao tajwa kukamatwa wana baraka zote toka juu kufanya mchezo huu mchafu !! Je usalama wa Taifa uko wapi hapa ? Mambo haya ya nafanyia muda mrefu na yamekuwa ya kisemwa siko zote hadi baadhi ya vyombo vya habari vilisha toa tuhuma hizi mbona vyombo vyote husika vilikaa kimya ?! ! Mimi binafsi na muomba Mh. JPM awafukuze kazi wafuatao (1) Mkurugenzi wa usalama wa Taifa , (2) IGP , (3) DCI , pia Mawaziri wa Fedha waliopita wakamatwe na kuhojiwa kujuwa walihusika vipi katika hii kashfa kwani huu uchafu umeanza siku nyingi sana, TRA wana kitendo chao cha First Team cha kupambana na wezi wa Kodi za Serikali Je walikuwa wapi siku zote ??? Mh. Rais sasa ni wakati muafaka wa kuachana na sinema za Serikali zilizo tangulia ni wakati wa kuitendea haki Nchi yetu Mama Tanzania tuanze Kutumbua Majipu kuanzia huko Juu kabisa. Na ikibidi aliye kuwa Mkuu wa hii kaya naye awajibike jamaani !! Vipi chama tawala walikuwa wapi wakati Nchi inatafunwa na wanachama wao ?? Jamani tuitendee haki Nchi yetu na tufanye mabadiliko ya kweli ! ! HAPA KAZI TU !