Mwenye Diploma ya INSURANCE changamka!!!!!!!!!!!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari za mchana,

Kwa mtu yeyote mwenye Diploma ya Insurance na mwenye experience ya miaka mitano anahitajika kuwa
Principal Officer katika Brokerage Firm. Kwa maelezo zaidi ni-PM

Location : Mwanza

USOMAPO TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWENZIO

Wabheja Sana

CL
 

Diploma with 5yrs experience,mmh kwann mischukue na wa bachelor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…