IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,275
- 6,105
Nina shida na hao watu mwenye contacts either Kondakta au wakata tiket yoyote yule anisaidie ni very urgent
Ahsanteni
Ahsanteni
NBS inayozungumziwa hapa ni kampuni ya usafirishaji wa abiria kwa kutumia mabasi na mizigo kwa kutumia magari ya mizigo.NBS-hawa Si watu wa National Bureau of Statistics; nenda posta mpya utawakuta DSM haina haja ya kutafuta mawasiliano