Mwenye Connection ya Kazi Mwanza anisaidie

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
455
Reaction score
1,729
Wakuu salamu kwenu

Nipo Mwanza Ilemela natafuta connection ya kazi yoyote ile halali

Umri wangu miaka 34
Elimu yangu Bachelor degree in Tourism management
Na pia nina Postgraduate Diploma in Education

Nina uzoefu wa kufundisha masomo ya hotel na utalii

Naweza kufanya kazi kwenye hotel au mahali popote ambako nakutana na wateja mbalimbali

Kama kuna mdau ana connection Mwanza au nje ya Mwanza basi asisite kunishtua na Mungu atambariki sana
 
Kaka kwema
 
Back
Top Bottom