naomba mwenye connection pale national house natak kwenda kufanya volunteer pale katika kada ya store nimeitimim diploma ya manunuz nina uzoefu wa miaka zaidi ya 5 katika masuala ya maunuzi na ugavi 0744576060
Watakuja wajuvi kukujuza zaidi,
Mie wale jamaa walinitema seap hv hv, maana sometimes huwa wanataka mpk watu waliopitia Taesa, kwa kuwa unatafuta connection watakuja wazee wa connection.
naomba mwenye connection pale national house natak kwenda kufanya volunteer pale katika kada ya store nimeitimim diploma ya manunuz nina uzoefu wa miaka zaidi ya 5 katika masuala ya maunuzi na ugavi 0744576060
Duh et National Houses hahah. Think ulikua unamaanisha National Housing Corporation (NHC). Iko hivi NHC hawachukui watu wa volunteering bali wanachukua interns pekee otherwise uwe na connection ya moto sana. kama utahitaji kujaribu bahati yako kupata intern pale nenda kajisajili TAESA kwani jamaa wanachukua interns kutoka TAESA and not otherwise. Ila uzoefu miaka mi 5 then bado unatafuta volunteering? kweli mtaani pamoto.