Mwenge wa Uhuru ulianza baada ya Uhuru wa Tanganyika na kabla ya Mapinduzi ya Zanzibar auna uhusiano wowote na Zanzibar ila inaonekana umefanywa kuwa Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho hakipo, kwasababu hakuna kitu kama Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama swali linavyo jieleza,mwenge huu wa uhuru wa Tanganyika unavuuka bahari kila mwaka na kukimbizwa mikoa na wilaya zote za Unguja na Pemba huku ukiitwa mwenge wa uhuru.
Kwa ninachojuwa ,Historia ya mwenge huu ni alama ya uhuru wa Tanganyika 1961 uliowekwa juu ya mlima K/njaro ili kuangaza mipaka dhidi ya maadui wa uhuru na maaduiI wa amani na umoja..
Muungano wetu ulikuwa na mkataba maalum ulioanisha maeneo tuliyoungana na kuacha yote yasoyokuwemo kwenye makubaliano ya muungano kwa washirika wa muungano wenyewe bila ya kuathiri mkataba huu.
Ule mwenge uliingiaje kuwa wa muungano?
Pamoja na mambo ya muungano kuongezwa,mwenge haukuwemog
Kama swali linavyo jieleza,mwenge huu wa uhuru wa Tanganyika unavuuka bahari kila mwaka na kukimbizwa mikoa na wilaya zote za Unguja na Pemba huku ukiitwa mwenge wa uhuru.
...
...
Hivi ukiulizwa mwenge haswa umuhimu na malengo yake nini? Maana ya mwenge ni nini? ....
Mkuu iko hivi:-
Mwenge wa Uhuru unaashiria nuru na mwanga. Uliwashwa kwa mara ya kwanza juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mwaka 1961. Mwenge huu unamulika nchini na nje ya mipaka ili kuleta matumaini pale ambapo kuna kukata tamaa, upendo pale kwenye chuki na heshima pale penye dharau.Kila mwaka kuna mbio za mwenge zinazoanzia kwenye mikoa tofauti kuwakumbusha Watanzania jukumu lao la kulinda uhuru, umoja na amani ambavyo vimekuwepo na kudumu. (Tovuti Kuu ya Serikali: Mwenge wa Uhuru)
Usituambie Zanzibar haiyahitaji yote hayo. Jambo jema ni kwamba Mwenge wa Uhuru unamulika hadi "nje ya mipaka" na sio wa Tanganyika tu kama inavyodaiwa.
Majibu ya maswali yako yanapatikana hapa: Tovuti Kuu ya Serikali: Mwenge wa Uhuru
Mwenge wa Uhuru ulianza baada ya Uhuru wa Tanganyika na kabla ya Mapinduzi ya Zanzibar auna uhusiano wowote na Zanzibar ila inaonekana umefanywa kuwa Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kitu ambacho hakipo, kwasababu hakuna kitu kama Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huu Mwenge una umuhimu gani ndugu yangu? au kuongeza maambukizi ya VVU.Kaaazi kweli kweli nchi yetu hii. Yaani kama kitu cha msingi kama Mwenge wa Uhuru hakiko clear sijui kuna mauzauza mangapi nchi hii.
Huu Mwenge una umuhimu gani ndugu yangu? au kuongeza maambukizi ya VVU.