Wewe mkuu ndo mwenye matatizo kama ulikuwa una cha kupost ni vema ungepita kuliko kuandika upuuzi,Mwenzio anaomba msaada wa kueleweshwa inakuaje wewe unaleta kejeli zako.Nafikiri wewe ni product ya Mungai ile ya Chemistry na physics ni somo moja.Kwa kweli unastaili matusi na ingekuwa mnaonana ungechezea kichapo.