Habari kwa wadau wote waliochaguliwa Mwuce naomben hasa kwa walioanza kujisajil mwaka wa 1 tujuzane mambo yapoje? Maana wadogo zenu ndo kwanza tunasafiri
Duuuu! Inamaana wote waliojisajili hawatembelei humu! Hii ni sehemu ya pili tunaomba waliotangulia watujuze lkn kimyaaa!
Emhegele wewe ukifika utatuambia mimi niko njian lkn kuna mambo hayajakaa vema kwahiyo kama cku2/3 hv nitakuja.

We idd kumbe wewe uko huko? Mi nalalama cku zote mnitajie kiwango cha pesa kinachompa mwanamwuce mpya ruhusa ya kuanza masomo!
Nihiyo 360000? Au na kias kingine?
Ukilipa registration unaweza kuanza masomo (study wk ni j3 ijayo) ,
vyumba kwa hostel za chuo husitegemee kupata, ingawa kuna ghorofa floor 4 inajengwa inawezekana baada ya wiki mbili wakamaliza floor ya 2 wanachuo wakaka (ingawa ni proba)
We idd kumbe wewe uko huko? Mi nalalama cku zote mnitajie kiwango cha pesa kinachompa mwanamwuce mpya ruhusa ya kuanza masomo!
Nihiyo 360000? Au na kias kingine?
yap ukilipa hiyo unanaanza masomo, ila hakikisha mpaka kabda ya u.e (university examination) umemaliza deni la semister maana hautasajiliwa kufanya mtihani