Kama nilivyosema Mimi Nina ndugu yangu yupo mwecau anaingia mwaka wa pili. Kwa wanaofahamu zaidi, je masharti ya kufanya registration yakoje? Maana anategemea fedha za mkopo wa bodi ambazo Mara nyingi huwa zinachelewa kutoka. Je anaweza kuruhusiwa kufanya registration kabla hajalipa chochote na aje kulipa bodi wakileta pesa? maadam Mwajuma karibu na wengine mnaofahamu naomba kufahamishwa.