mwikumwiku
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 153
- 35
walewale....stupidKwa hali inavyokwenda kwa sasa juu ya majadiliano kuhusiana na Muswada wa Mapitio ya Katiba ni wazi kwamba kuna baadhi ya watu au vikundi vya watu, ama "wanasiasa", "wasomi" au "wanaharakati" wameteka mchakato mzima na wao kujifanya ndio wananchi. Hii inaweza ikapelekea katiba mpya itakayotungwa kuwa ya kikundi Fulani cha watu "elites" sote tunafahamu kuwa ni kwa kiasi gani katiba za nchi nyingi zimevurugwa na "elites".
My take:
Kama ningekuwa Rais ningesitisha mchakato wowote kuhusiana na Katiba mpya mpaka hapo watanzania wenyewe, na si kikundi au vikundi vya watu" watakapotaka katiba mpya. Mnatuchanganya akili zetu kwa masilahi yenu binafsi.
k
Kwa hali inavyokwenda kwa sasa juu ya majadiliano kuhusiana na Muswada wa Mapitio ya Katiba ni wazi kwamba kuna baadhi ya watu au vikundi vya watu, ama "wanasiasa", "wasomi" au "wanaharakati" wameteka mchakato mzima na wao kujifanya ndio wananchi. Hii inaweza ikapelekea katiba mpya itakayotungwa kuwa ya kikundi Fulani cha watu "elites" sote tunafahamu kuwa ni kwa kiasi gani katiba za nchi nyingi zimevurugwa na "elites".

Nionavyo mimi huu ni mswada wa mabadiliko ya katiba, baadhi ya watu wanapendekeza uwe mswada wa kubadilisha katiba. Naona dhahiri kwa jinsi baadhi ya wanajamii wanavyoupinga ndivyo muda unavyokwenda mbele na ni manufaa kwa watawala, kwa mfano ikiwa hautapita kwa jina lake tu, inamaana mpaka kikao kingine cha bunge, hapo ndipio kitazungumziwa kilichomo ndani ya mswada wenyewe mpaka ukubalike ndipo utaanza mchakato wa kuandika hiyo tuseme ni katiba "mpya". Hapo itachukua mda gani?? Na wengine wameeanza kujadili katiba mpya iweje hata kabla ya huyo atakaepokea mapendekezo yao hajaundwa.
Ukweli ni kwamba kila kundi linatazama maslahi yake kwanza kwenye katiba hiyo na baadae mengine kwa ajili ya kuzuga zuga tu. Sitegemei hata kidogo chama tawala kikubali kuwa na katiba itakayoweza kurahisisha kukiondoa madarakani.
Na ndugu zangu wa upinzani nao wanajua wazi kule bungeni hawana uwakilishi utakaoweza kupitisha yale wanayopenda, hivyo wanajaribu kupenyeza kwa njia ya "peoples power'' kwa kuchukua advantage zinazojitokeza km. matatizo ya umeme, DOWANS,wananchi kuuwawa na vyombo vya dola, Machinga, wabunge kukamatwa na vyombo vya dola,uchaguzi wa mameya na lo lote litakalojitokeza (inaelekea wataandamana mpaka miguu miingie ndani ) angalau wajulikane kama na wao wapo.
Nasubiri hawa wawakilishi wetu wataaamuaje kuhusu huu mswada unaowakilishwa leo...
Eti mjadala usitishwe hadi Watanzania wenyewe...
Kwani hicho kikundi au hao elite ni raia wa wapi?
Kwa hiyo tatizo lako ni kuwaona wanaharakati
wakichangia mjadala wa katiba? kwani kuna watu
wamezuiwa kuchangia? Hii kwangu ni hoja mfu...