Mwendokasi

Wanaume nyie! Yaani huna picha ingine ya environment ya huko utokako isipokuwa hii uloleta? Unaona raha sana eh?
 
Hata simwelewi, nahisi is just a Signs of Puberty
 
Wanaume nyie! Yaani huna picha ingine ya environment ya huko utokako isipokuwa hii uloleta? Unaona raha sana eh?
Wanaume ndivyo tulivyoumbwa dada angu.Mtumie Mungu ujumbe wa whatsapp umwombe aturekebishe!
 
Halafu unakuta muhusika wala hakutegemea, na wala akilini mwake hafikirii kama bomba lilikuwa likiMbipu.

Kuna matukio huwa yanatokea bila muhusika kutambua kilichotokea, kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…