Mwendokasi na ujinga wa uendeshaji

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,449
Reaction score
10,756
Mimi nikiwa jijini hapa napenda sana kutumia haya mabasi ya BRT ama mwendokasi. Nimeshangazwa na kitendo cha kutoa viti ambavyo vinatumiwa na wasafiri hasa hapa Feri ama Kivukoni na kuvitupa pembeni. Huu mradi una shida kubwa.

Kama ndio usimamizi ndio huu sijui huu mradi wa SGR utakuwaje. Hapa ndio moyo unasema nchi hii inatakiwa miradi isimamiwe na kichaa katika kufanya maamuzi. Mradi unapoteza hela nyingi kwa uzembe ulio wazi.

RAIS MAGUFULI MULIKA HUU MRADI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…