Mweee!Nenda na 400 kamili uone kama wataikataa?? Wewe kwa nini kila siku unaenda na mia tano kamili na unaambiwa hamna chenji hivyo "wanakuibia" bado hujiongezi unakuja kulalamika, acha upigwe tu!!
Ukiacha hiyo Mia kesho Nenda na mia TatuHabari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka kimara ..katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka kimara bei ni iyo iyo..
Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?
Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulialia [emoji5] [emoji5] [emoji5] shilingi 100 tu inakutoa povu!!!Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka Kimara bei ni hiyo hiyo.
Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?
Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
990 haiwezi kuwa 1000 bila 10 sembuse 100? Watanzania wana vipato tofauti sawa na vidole huwa havilingani.Acha kulialia [emoji5] [emoji5] [emoji5] shilingi 100 tu inakutoa povu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wizi na janja janja isiyo na aibu hata kidogo,wanapaswa kukemewa hawaSiyo Mbezi to Kimara tu. Hata route zingine ukitokea kimara wanajifanya hawana chenji. Imeshanitokea Mara nyingi tena baada ya abiria walionitangulia wakilipa Hela kamili 650 nilipomfikia akasema chenji hakuna. Nikambana akaona aibu akanirudishia 50 Yangu. Ni wezi hao Vijana Kimara Mwisho na Mbezi. Kariakoo na vituo vingine Sijaona tatizo hili. Tunaomba uongozi wa DART ufuatilie jambo hili.
Dawa yao nikuwaambia nasubiria chenji apa apa maana takwimu inaonesha kuwa mwendo kasi wanapata abiria 15000 mpaka 200000 mahesabu inakuja sh?Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka Kimara bei ni hiyo hiyo.
Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?
Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasa Kimara mwisho wafanyanyakazi wa maximalipo. Na Mbezi wakala pia ila siyo sugu kama Kimara.kidogo sijaelewa, wanaosema hawana Chenchi ni wafanyakazi wa MaxMalipo ambao wanafanyakazi ndani Terminal za Mwendokasi au Mawakala wa Mwendokasi waliopo pale Mbezi mwisho wanaotumia mashine ndogo POS??