Mwendokasi Mbezi-Kimara, hawarudishi chenji

Uvundo80

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
280
Reaction score
256
Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka Kimara bei ni hiyo hiyo.

Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?

Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda na 400 kamili uone kama wataikataa?? Wewe kwa nini kila siku unaenda na mia tano kamili na unaambiwa hamna chenji hivyo "wanakuibia" bado hujiongezi unakuja kulalamika, acha upigwe tu!!
Inakuaje mtego huo huo unakukamata kila siku? Nawe ni tatizo!
 
Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka kimara ..katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka kimara bei ni iyo iyo..
Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?
Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiacha hiyo Mia kesho Nenda na mia Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Panda na pesa kamili. Kwani wewe hujui kuwa utahijati kupanda basi ujiandae kwa nauli kamili?
 
Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka Kimara bei ni hiyo hiyo.

Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?

Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulialia shilingi 100 tu inakutoa povu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Mbezi to Kimara tu. Hata route zingine ukitokea kimara wanajifanya hawana chenji. Imeshanitokea Mara nyingi tena baada ya abiria walionitangulia wakilipa Hela kamili 650 nilipomfikia akasema chenji hakuna. Nikambana akaona aibu akanirudishia 50 Yangu. Ni wezi hao Vijana Kimara Mwisho na Mbezi. Kariakoo na vituo vingine Sijaona tatizo hili. Tunaomba uongozi wa DART ufuatilie jambo hili.
 
Ni wizi na janja janja isiyo na aibu hata kidogo,wanapaswa kukemewa hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Jf
Katika hufuma hii ya usafiri huu wa mwendokasi kutokea kituo cha Mbezi mpaka Kimara. Katika kituo cha Mbezi bei elekezi ya nauli in shilingi za kitanzania mia NNE 400/= uwe unakwenda kimara au unatoka Kimara bei ni hiyo hiyo.

Ajabu ni katika kituo cha Mbezi hawa vijana wamegeuza chanzo mbadala cha mapato badala ya mia NNE 400/= wao hutoza mia tano 500 /= kwa kigezo na kisingizio kuwa chenji hawana kitu ambacho sio kweli hasa ukizingatia huwa wanahudumia wateja wao kwa fedha taslim ya mia sita na hamsini 650/= ...
Iweje chenji wasiwenayo?

Kama ni hivyo halalisheni bei iyo ya mia 500 kuliko kufumbia macho mianya ya watu wachache kuibia wananchi wao na kujinufaisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yao nikuwaambia nasubiria chenji apa apa maana takwimu inaonesha kuwa mwendo kasi wanapata abiria 15000 mpaka 200000 mahesabu inakuja sh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kidogo sijaelewa, wanaosema hawana Chenchi ni wafanyakazi wa MaxMalipo ambao wanafanyakazi ndani Terminal za Mwendokasi au Mawakala wa Mwendokasi waliopo pale Mbezi mwisho wanaotumia mashine ndogo POS??
 
Hasa Kimara mwisho wafanyanyakazi wa maximalipo. Na Mbezi wakala pia ila siyo sugu kama Kimara.
 
Back
Top Bottom