Mwendo wa korosho na maji!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499


Tunasema haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu!!! Hongera Magufuli
 
Huu.ni usanii wa muda mfupi tu kwakuwa nchini ipo katika hali mbaya kifedha. Nitaamin pale kama ikiendelea kwa miaka 3. Lakin si sasa.
 
Nampa pongezi kwa kutambua hazina hakuna kitu na kuchukua hatua kukabiliana na hiyo hali. Waliopita walikuwa majanga. Hata majumbani kwetu hali ikiwa ngumu tunafunga mikanda na kujibana.

Huu.ni usanii wa muda mfupi tu kwakuwa nchini ipo katika hali mbaya kifedha. Nitaamin pale kama ikiendelea kwa miaka3. Lakin si sasa.
 
Duuu !! Hata korosho mnaona ufisadi umetumikaduuu watanzania noma
hahaah!! hata hayo maji bei ghali, wangeweka uhai, maisha, afya, au ya viroba kabisa. safari hii hatutaki mchezo
 
Yaani baada ya muda barua za kujiuzulu zitakuwa nyingi sana.
 
Ukawa watakuwa wanafurahi huu utendaji maana Sera yao inatekelezwa kwa vitendo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…