Yaani sisi ni mabwege sana " ... tunaburuzwa tu nakupelekwa kama ng'ombeWananchi ndo tunaendekeza hiyo hali,,,sisi nao wambwege tu
Tena ya kibabePole sana mkuu,
hayo mabasi ni BIASHARA wala sio HUDUMA.
tena biashara ya Kibabe
Panda uber
Njoo geto uchukue nilikiokota mimiMwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
We shoga angu sijui Kama zimo kichwaniNunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mabasi yanaboa sana toka kuanza kwa sikukuu imekua kero kwa wasafiri wa haya mabasi vituo vimejaa mabasi machache likija mnaminyana mpaka unaisi kupoteza maisha.lingine hivi kama mtu anaumwa marazi ya kuambukiza inakuaje.kama wahusika mmo humu njooni kimara mujionee mnatutesa ruhusuni dsm zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa jumatanoMwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
Ilikuwa jumatano
mida kama hii..
nimekihifadhi ukitoka huko ulipo ukipitie
utanikuta juu kule kwa daraja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha pole dahMwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
huko pakistan yapo?Nunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kumbe nawe huna gari mkuu?Mwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
hivi kumbe nawe huna gari mkuu?
mbona sponsor wengi tu hapa mjini?Sina