Kuita mtu wanasema "kuitana" kutuma ni Kutumana,kondakta ni Makanga,bodaboda ni "Nduthi" kibarua wanaita "Katara, mtu maarufu wanamwita "mtu Tajika"bongo tulishasahau maneno kama mlimbwende na kidosho ila kenya bado ni maarufu, kiswahili cha hapa ni tabu tupu,hapa nimetoka "kuabiri"(kukodisha) nduthi mwingine mnono hadi nimecheka.