Mwekezaji...............

Anafuatilia miradi yake.
 
Yaani mzigo aliyobeba haufiki faida elf ishirini...hivi huyu muwekezaji au muenezaji..!!!
 
Yaani mzigo aliyobeba haufiki faida elf ishirini...hivi huyu muwekezaji au muenezaji..!!!

.......... nikweli ndiomaana amekodi BAJAJI...!! hawa wamekuja kuiba ajira za vijana wetu, kwa mwavuli wa uwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…