Mwekezaji huyooooo

akimaliza mkataba anakabidhiwa kilos za meno ya tembo na nishani ya uwekezaji mwendo kwao
 
Hivi ile kesi ya wauza viungo vya pilau waliokamatwa na meno ya tembo wetu imefikia wapi vile?
 
Uhamiaji wamelala kama sio wamelazwa...
 
huyu atakuwa Muhongo kamleta
 
Hivi ile kesi ya wauza viungo vya pilau waliokamatwa na meno ya tembo wetu imefikia wapi vile?

Yale meno yalikwenda na rais wao. Na wao wapo huru kama sisi alivoachiwa huru riz moko
 
Teh Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeeeh, hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…