nimekuelewa sana Mkuu! na Asante sana kwa ushauri wako.be blessed! nitalifanyia kazi hiliMkuu naandika kukueleza hali halisi, sio kukukatisha tamaa.Hiyo pesa unayozungumzia siyo watu hawana ,ipo ila watanzania ni wagumu sana kwenye kufanya investment. Mfano Angalia asili za wamiliki wa website za Jumia,kupatana,zoom je hawa watu ni watanzania?.Ukishapata jibu ndio utajua asili ya mtanzania ni ipi?
Narudia tens watanzania ni wagumu kwenye investment, ukishamwambia faida inapatikana baada ya mwaka mmja au mimiwili hapo hutopata mtu.
Ushauri wangu ni huu.
Anza na kiasi ulichonacho kufanya biashara,hata kama una laki moja anza NATO hiyo hiyo.Unajua mwanzo wa Alibaba au kampuni kama google zote zilianza kama mchicha.Steve jobs walianza kazi wakiwa hawana hata Ofisi.
Anza taratibu,kama wazo ni zuri litakuwa kubwa.
For my experience nina mtu namfam ana idea kama hizo ila anahitaj mtaji mkubwa,sasa ni mwaka wa 4 hajapata investor.
Hivyo uchaguzi ni wako,sijaandika kukushawishi uingie pande ipi Bali nimeandika kutokana na uzoefu wangu.
Akitulia akausoma ushauri wako kwa kuurudia mara 3 lazima mwezi huu aanze kufanyaMkuu naandika kukueleza hali halisi, sio kukukatisha tamaa.Hiyo pesa unayozungumzia siyo watu hawana ,ipo ila watanzania ni wagumu sana kwenye kufanya investment. Mfano Angalia asili za wamiliki wa website za Jumia,kupatana,zoom je hawa watu ni watanzania?.Ukishapata jibu ndio utajua asili ya mtanzania ni ipi?
Narudia tena watanzania ni wagumu kwenye investment, ukishamwambia faida inapatikana baada ya mwaka mmja au mimiwili hapo hutopata mtu.
Ushauri wangu ni huu.
Anza na kiasi ulichonacho kufanya biashara,hata kama una laki moja anza nayo hiyo hiyo.Unajua mwanzo wa Alibaba au kampuni kama google zote zilianza kama mchicha.Steve jobs walianza kazi wakiwa hawana hata Ofisi.
Anza taratibu,kama wazo ni zuri litakuwa kubwa.
For my experience nina mtu namfam ana idea kama hizo ila anahitaj mtaji mkubwa,sasa ni mwaka wa 4 hajapata investor.
Hivyo uchaguzi ni wako,sijaandika kukushawishi uingie pande ipi Bali nimeandika kutokana na uzoefu wangu.
mkuu asante ila mbona nimeona hiyo ni kwa wale ambao wana business tiyari zinafanya kazi? sio kwa ideasJaribu kuapply kwenye tony elumelu foundation kama bado haujaa apply (mwisho ni kesho 1.3.2018),jitahidi umalize application Leo The Tony Elumelu Entrepreneurship Program
Soma maelekezo vizuri mkuumkuu asante ila mbona nimeona hiyo ni kwa wale ambao wana business tiyari zinafanya kazi? sio kwa ideas
nimeona mkuu na nimeshaapply.thanxHata idea ambazo ni viable zinakubalika huko mkuu
kumbe link ilinipelekamoja kwa moja kwenye application so sikuweza kupata maelezo ya kwanza.ila sasa hiv nimepata na nimeshaapply mkuu.asante sana.Soma maelekezo vizuri mkuu
OK ,kama ideas zako ziko powa jamaa watakuchagua mkuukumbe link ilinipelekamoja kwa moja kwenye application so sikuweza kupata maelezo ya kwanza.ila sasa hiv nimepata na nimeshaapply mkuu.asante sana.
sawa mkuuOK ,kama ideas zako ziko powa jamaa watakuchagua mkuu