Mwanza: Wapi kuna ujenzi unaendelea nikaombe kazi?

Luteni mtafutaji

New Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Kwa wenyeji wa ILEMELA au NYAMAGANA ni sehemu gani ambapo kuna ujenzi unaendelea wa

-Barabara ya Rami/Mawe
-Ghorofa
-Godown
-Hostel
-Mifereji ya Maji
-Guest house
-Project ya Ujenzi wa nyumba
-Kiwanda
-Hotel

Ama ujenzi wa aina Yoyote ule unaoendelea nikacheki kazi.

Wakuu maoni yenu yanahitajika sana christian mtexas, Slowly, laizerg, Numbisa, GTA, vvm, @Bams,Mama Sabrina , Ngokongosha, @IHOLOMELA,LENDEYSON
 
1. Nenda Buswelu
2.Mjini kati ... moja karibu na hotel Kembice na Capripoint...tembelea line ya hizi block X karibu na ziwani..panda juu ya ofisi za idara ya maji kama unaelekea mtaa wa relini...then nenda Bwiru pembeni ya green palm hotel na barabara ya breweries ukitokea kona ya Bwiru kunja kulia kwenye intersection ya kwanza.
3 . Tembelea maeneo ya malimbe na Nyakato ilipo campus mpya ya CBE
4.
5.
6.Buswelu NSSF
7. Tembelea Nyamhongolo
8.

Unataka kufanya nini mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenz
Kazi hakuna mkuu kukaa mtaani tu pasipo kazi yoyote haifai bora kutafuta hata vibarua vya ujenzi tu.
 
Kwa wenyeji wa ILEMELA au NYAMAGANA ni sehemu gani ambapo kuna ujenzi unaendelea wa

-Barabara ya Rami/Mawe
-Ghorofa
-Godown
-Hostel
-Mifereji ya Maji
-Guest house
-Project ya Ujenzi wa nyumba
-Kiwanda
-Hotel

Ama ujenzi wa aina Yoyote ule unaoendelea nikacheki kazi.

Wakuu maoni yenu yanahitajika sana christian mtexas, Slowly, laizerg, Numbisa, GTA, vvm, @Bams,Mama Sabrina , Ngokongosha, @IHOLOMELA,LENDEYSON
1. Kuna barabara inajengwa ikitokea Nyakato Machinjioni inapita hadi Mahina, Kanyerere inatokea Mkuyuni..
2. Barabara ya kutoka Nyegezi Stand hadi Nyamazobe.
3. Barabara ya Umoja kupandisha Kanisa Bugando hadi Aga Khan.
4. Kuna kampuni ya JR ipo Ilemela ina deal na miradi ya maji pamoja na sewage systems.

kiongoz fanya kama unaenda nyasaka center shukia kituo cha kanisani kisha nenda mkono wako wa kulia fuata hio barabara ya mawe mpaka mwisho utaona makatapira kama yete changamka kijana kunamradi wa maji unaendelea pale mkuu

98% utapata kazi uhakika maaaana kuna mpaka wakina mama kazi kwako
 
Nenda buhongwa baada ya olympic sheli kuna sheli tatu zinajengwa,ukikosa hapo nenda pale nyashishi mbele kidogo baada ya kupita nyashishi pia kunae sheli inajengwa.Note:nyashishi ni misungwi maana umetaja ilemela na nyamagana tu.
 
1. Kuna barabara inajengwa ikitokea Nyakato Machinjioni inapita hadi Mahina, Kanyerere inatokea Mkuyuni..
2. Barabara ya kutoka Nyegezi Stand hadi Nyamazobe.
3. Barabara ya Umoja kupandisha Kanisa Bugando hadi Aga Khan.
4. Kuna kampuni ya JR ipo Ilemela ina deal na miradi ya maji pamoja na sewage systems.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu SaaMbovu hii kampuni ya JR ya maji ipo sehemu gani Ilemela au nishukie kituo gani na uelekeo ni upi baada ya kushuka kwenye kituo.
 
Back
Top Bottom